• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wapalestina 7 wapigwa risasi na askari wa jeshi la Israel

    (GMT+08:00) 2018-09-29 19:29:10

    Wapalestina wengi tarehe 28 walipamabana na askari wa Israel kwenye mpaka kati ya eneo la Gaza na Israel wakati walipofanya maandamano, miongoni mwao wapalestina 7 waliuawa kwa kupigwa risasi na askari hao.

    Siku hiyo wapalestina wengi walikusanyika kwenye mpaka kati ya eneo la Gaza na Israel na kuendelea kufanya "maandamano makubwa ya kurudi". Waandamaji hao walichoma magurudumu na kutupa mawe na vyupa vya kuchoma. Askari wa jeshi la Israel walirusha mabomu ya machozi na kuwapiga kwa risasi waandamaji hao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako