• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais Xi Jinping ahudhuria hafla ya siku ya kuwakumbuka marehemu

    (GMT+08:00) 2018-09-30 10:48:05

    Rais Xi Jinping na viongozi wengine wa Chama cha Kikomunisti cha China na serikali kuu ya China pamoja na wajumbe mbalimbali wamehudhuria hafla ya kuweka mashada ya maua kwenye mnara wa mashujaa wa umma iliyofanyika leo Saa 4 asubuhi hapa Beijing.

    Leo ni siku ya kwanza ya kuwakumbuka marehemu baada ya China kutekeleza sera ya kuwaenzi mashujaa na marehemu. Sheria hiyo imeamua kuwa kila ifikapo tarehe 30 Septemba ya kila mwaka itakuwa ni siku ya kuwakumbuka marehemu, na serikali inaandaa hafla ya kuwakumbuka mbele ya mnara wa mashujaa wa umma kwenye uwanja wa Tian'anmen mjini Beijing

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako