Shirikisho la Nje ya Majumba la Finland likishirikiana na mashirika mengine limeanza kampeni ya kuhimiza "haki ya kila mtu" ya nchi hiyo katika orodha ya urithi wa utamaduni usioshikika wa UNESCO.
"haki ya kila mtu" ya Finland inamaanisha kuwa kila mtu anaweza kuingia na kufurahia msitu wowote au maumbile mengi asili ya pori, bila kujali mtu anayemiliki eneo hilo. Wamiliki hawawezi kuwazuia kuingia isipokuwa kwenye maeneo yaliyo karibu na nyumba zao.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |