• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Majadiliano kuhusu kukamatwa kwa mateka wanaoshikiliwa na IS kutoka mkoa wa Sweida Syria yapata maendeleo

    (GMT+08:00) 2018-10-01 08:54:56

    Maendeleo yamepatikana katika majadiliano kati ya mamlaka za Syria na wapiganaji wa kundi la IS, kuhusu kukamatwa kwa mateka kutoka mkoa wa Sweida, kusini mwa Syria.

    Shirika la Uangalizi wa Haki za Binadamu la Syria, limesema makubaliano ya mwisho yanaweza kufikiwa ndani ya muda mfupi, na kuongeza kuwa kundi la IS linaweza kuwaachia huru mateka hao kama mamlaka za Syria zikikubali kuwaruhusu wapiganaji wake waliobaki, kuondoka milima ya Tulol al-Safa, eneo la mwisho linalodhibitiwa na IS katika sehemu za pembezoni mashariki mwa mkoa wa Sweida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako