• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mshauri wa Ikulu ya Marekani asema bado kuna masuala magumu kwenye mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na Canada

    (GMT+08:00) 2018-10-01 08:55:15

    Mshauri wa biashara wa Ikulu ya Marekani Bw. Peter Navarro amesema bado kuna masuala kadhaa magumu kwenye mazungumzo ya biashara kati ya Marekani na Canada kwa ajili ya kuyafanyia marekebisho Makubaliano ya Biashara Huria ya Amerika Kaskazini NAFTA. Masuala hayo ni pamoja na upatikanaji wa soko la bidhaa za maziwa, na kinachoitwa mfumo wa utatuzi wa mgogoro.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako