• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Vyama vya wafanyakazi nchini Nigeria vyasimamisha mgomo wa kudai kuongezwa kima cha chini cha mshahara

    (GMT+08:00) 2018-10-01 09:44:40

    Vyama vya Wafanyakazi nchini Nigeria vimetangaza kusimamisha mgomo kote nchini ulioanza Alhamisi kwa ajili ya kupinga serikali kushindwa kujibu madai yao ya kuongezwa kwa kima cha chini cha mshahara ndani ya siku 14.

    Mwenyekiti wa shirikisho la vyama vya wafanyakazi la Nigeria Bw. Ayuba Wabba amesema mgomo huo umesimamishwa mara moja ili kuiwezesha serikali kuandaa mkutano muhimu na kufanya maamuzi kuhusu kima cha chini cha mshahara.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako