• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Botswana kuongeza juhudi katika kupambana na umaskini

    (GMT+08:00) 2018-10-01 09:45:42

    Rais Mokgweetsi Masisi wa Botswana ameahidi kuwa serikali yake itaongeza juhudi katika kushughulikia ukosefu wa ajira, umaskini, uhalifu na ugonjwa wa Ukimwi.

    Rais Masisi akihutubia Maadhimisho ya miaka 52 ya uhuru, ameahidi kuijenga Botswana iwe nchi yenye maendeleo endelevu kwa msukumo wa ukuaji wa uchumi.

    Rais Masisi amesema ana imani chanya juu ya uchumi anuwai, maendeleo endelevu ya uchumi, ongezeko la nafasi za ajira na uwekezaji katika nguvu kazi ili kujenga jamii shirikishi yenye ustawi. Amesema hii inatokana na matumaini ya nchi hiyo, katika kuondoa umaskini na hatimaye kujenga jamii inayotoa fursa na heshima kwa watu wote.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako