• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kufuzu kuvaana na DRC katika kusaka tiketi ya CAN-U23

    (GMT+08:00) 2018-10-01 10:24:33

    Timu ya taifa ya Rwanda ya vijana chini ya umri wa miaka 23 itamenyana na DRC katika kuwania tiketi ya kucheza kombe la Afrika kuanzia Novemba 8 hadi 22 mwakani nchini Misri.

    Michuano hiyo ya Afrika pia itakuwa ya kufuzu kushiriki michezo ya Olimpiki mwaka 2020 nchini Japan ambapo bara la Afrika litawakilishwa na timu tatu za Juu.

    Rwanda na DRC zitacheza mechi ya kwanza mjini Kigali na marudiano mjini Kinshasa mnamo mwezi Novemba mwaka huu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako