• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Masumbwi: Mtanzania ashinda Afrika Kusini

    (GMT+08:00) 2018-10-01 10:25:50

    Bondia Jonas Segu kutoka Tanzania, maarufu 'Black Mamba' amefanikiwa kumshinda Bondia David Rajuili kutoka Afrika ya Kusini katika pambano la ubingwa wa WBF Africa Lightweight Champion lililofanyika mwishoni mwa wiki hii mjini Cape Town.

    Hili ni pambano la pili kati ya wawili hao ambapo pambano lililochezwa March 3 Segu alipoteza ushindi dhidi mpinzani wake huyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako