• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marekani na Canada zafikia makubaliano na Mexico ya kubadili NAFTA

    (GMT+08:00) 2018-10-01 19:04:02

    Canada na Marekani na Mexico zimetangaza kufikia makubaliano mapya ya kisasa juu ya makubaliano ya biashara huria ya Amerika Kaskazini, NAFTA.

    Taarifa ya pamoja iliyotolewa jana usiku na mwakilishi wa biashara wa Marekani Robert Lighthizer na waziri wa mambo ya nje wa Canada Chrystia Freeland imesema, nchi hizo mbili zimekubaliana kuanzisha makubaliano mapya ya kisasa kwa ajili ya karne ya 21 ya Mexico, Canada na Marekani. Makubaliano hayo yatawapa wafanyakazi, wakulima, wafugaji na wafanyabiashara ngazi ya juu katika mambo ya kibiashara ambayo yatawawezesha kuwa na soko huru zaidi, biashara huria na ukuaji mkubwa wa uchumi katika kanda hiyo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako