• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mlipuko wa bomu watokea mjini Mogadishu, Somalia

    (GMT+08:00) 2018-10-01 19:10:56

    Bomu lililotegwa kando ya barabara karibu na wizara ya ulinzi nchini Somalia limelipuka mapema leo.

    Polisi nchini humo wamesema, mlipuo huo umetokea karibu na kambi ya jeshi ya Jaalle Siyad mjini Mogadishu.

    Hakuna kundi lililokiri kuhusika na shambulizi hilo, lakini kunsi la Al Shabaab lenye uhusiano na kundi la Al Qaida mara nyingi linahusika na mashambulizi kama hayo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako