• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UM wasema vurugu nchini Iraq zimesababisha vifo vya raia 75 mwezi Septemba

    (GMT+08:00) 2018-10-02 10:32:18

    Vurugu zilizotokea nchini Iraq katika mwezi Septemba zimesababisha vifo vya raia 75. Taarifa iliyotolewa na Tume ya Msaada ya Umoja wa Mataifa nchini humo UNAMI pia imesema raia wengine 179 walijeruhiwa katika mashambulizi ya kigaidi katika miezi kadhaa iliyopita. Mji wa Baghdad uliathiriwa zaidi kwa kuwa na raia wahanga 101, ambao 31 waliuawa na wengine 70 kujeruhiwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako