• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Luteka kubwa ya kijeshi ya CSTO yaanza

    (GMT+08:00) 2018-10-02 10:32:38

    Kamanda wa eneo la kijeshi la katikati la jeshi la Russia Luteni Jenerali Alexander Lapin amesema luteka kubwa ya kijeshi ya Shirika la Mkataba wa Usalama wa Pamoja CSTO itwayo "undugu katika mapambano mwaka 2018" ilizinduliwa jana, na kuhudhuriwa na wanajeshi kutoka Armenia, Belarus, Kazakhstan, Kyrgyzstan, Russia na Tajikistan. Luteka hiyo inatarajiwa kumalizika tarehe 2, Novemba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako