• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanasayansi wawili wachangia Tuzo ya Nobel ya Fiziolojia au Tiba ya mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2018-10-02 10:32:57

    Kamati ya Nobel katika Taasisi ya Karolinska imeamua kutoa tuzo ya fiziolojia au tiba ya mwaka 2018 kwa Bw. James Allinsonwa Marekani na Bw. Tasuku Honjo wa Japan kutokana na ugunduzi wao wa tiba ya saratani kwa kuhamasisha uwezo wa seli za kingamwili. Kamati hiyo imesema kila mwaka makumi ya milioni ya watu wanakufa kutokana na magonjwa ya saratani, ambayo ni changamoto kubwa kwa afya ya binadamu, na kwamba ugunduzi wao ni tukio kubwa la kihistoria katika vita dhidi ya saratani, kwani tiba zote za kawaida zinaangalia seli za uvimbe, lakini hii ni katika mfumo wa kingamwili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako