• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Ethiopia ataka mageuzi ya data kuunga mkono maendeleo endelevu ya Afrika

    (GMT+08:00) 2018-10-02 18:45:31

    Rais Mulatu Teshome wa Ethiopia amesema mafanikio ya ajenda ya maendeleo endelevu yanataka mageuzi ya data ili kuunga mkono mipango ya maendeleo ya bara la Afrika katika ngazi zote.

    Rais Teshome amesema hayo wakati wa ufunguzi wa mkutano wa 6 wa Kamati ya Takwimu ya Afrika uliofanyika jana mjini Addis Ababa, Ethiopia. Amesema mageuzi ya data yanaboresha uvumbuzi na teknolojia katika ngazi zote za mchakato wa takwimu kama kukusanya, kutathmini na kupambanua.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako