• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjadala mkuu wa kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa wamalizika

    (GMT+08:00) 2018-10-03 09:15:34

    Mjadala mkuu wa kikao cha 73 cha Baraza Kuu la Umoja wa Mataifa umemalizika mjini New York, makao makuu ya Umoja wa Mataifa.

    Wajumbe wa nchi mbalimbali wameeleza ufuatiliaji wao kuhusu ulinzi wa ushirikiano wa pande nyingi na utaratibu wa kimataifa wenye msingi wa kanuni, amani na usalama wa dunia na wa kikanda, maendeleo endelevu na mabadiliko ya hali ya hewa. Viongozi wa nchi na wakuu au wajumbe waandamizi wa serikali pamoja na wajumbe wa mashirika ya kimataifa wamehudhuria mjadala huo na kutoa hotuba.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako