• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wanasayansi watatu wachangia tuzo ya Nobel ya Fizikia ya mwaka 2018

    (GMT+08:00) 2018-10-03 09:16:54

    Taasisi ya Sayansi ya Sweden imetangaza kuwa wanasayansi watatu wamechangia tuzo ya Nobel ya Fizikia ya mwaka 2018. Nusu ya tuzo hiyo imeenda kwa Arthur Ashkin wa Marekani kutokana na uvumbuzi mkubwa katika sekta ya fizikia ya leza, huku nusu nyingine wakitunukiwa Gerad Mourou wa UIfaransa na Donna Strickland wa Canada, ambaye alisema amefurahi na kushtuka kwa kupokea tuzo hiyo, na atarajiwa kutuzwa mjini Stockholm mwezi ujao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako