• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kriketi, Tanzania: Serikali yatoa wiki mbili kwa vilabu vya mchezo huo kujisajili.

    (GMT+08:00) 2018-10-03 10:33:56

    Waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo wa Tanzania Dkt. Harrison Mwakyembe ametoa wiki mbili kwa vilabu vya mchezo wa kriketi kuweza kujisajili.

    Dkt. Mwakyembe amesema vilabu vyote vya michezo yoyote ni lazima kujiendesha kihalali kwa kusajiliwa na kuweza kutambuliwa kisheria, na hiyo inasaidia kujiendesha kufuata taratibu, sheria na kanuni.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako