• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tennis, Michuano ya China: Del Potro wa Argentina afuzu raundi ya pili

    (GMT+08:00) 2018-10-03 10:34:47

    Katika michuano ya kimataifa ya China ya mchezo wa tennis inayoendelea hapa Beijing, nyota wa Argentina Juan Martin Del Potro amefanikiwa kufuzu raundi ya pili baada ya kushinda mechi yake ya kwanza aliyocheza jana dhidi ya Alberto Ramos wa Hispania.

    Katika raundi ya pili Del Potro atacheza dhidi ya Karen Rachanov wa Urusi, na endapo atafanikiwa kufika fainali kwenye michuano hii, moja kwa moja atakuwa amefuzu kushiriki michuano mikubwa ya mwaka ya chama cha wachezaji wa kulipwa wa tennis ATP inayofanyika kila mwaka mjini London.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako