• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Kocha Jose Mourinho akubali lawama za mashabiki

    (GMT+08:00) 2018-10-03 10:36:18

    Kocha Jose Mourinho amesema mashabiki wana haki ya kuzomea kutokana na mwenendo mbaya wa timu ya Manchester United na kwamba yeye na wacheza wake hawana sababu ya kukwepa lawama.

    Mourinho aliyasema hayo jana kwenye mkutano wake na waandishi wa habari baada ya mechi ya klabu bingwa ulaya dhidi ya Valencia iliyoisha kwa timu yake kupata sare ya bila kufungana.

    Hiyo pia ilikuwa ni mechi ya nne kwa timu hiyo bila kupata matokeo katika uwanja wa wake wa nyumbani wa Old Trafford.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako