• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Kikapu, Ligi ya taifa Uganda: City Oilers na Power kuanza mechi za fainali leo

  (GMT+08:00) 2018-10-03 10:39:48

  Leo ni leo katika uwanja wa ndani wa lugogo mjini Kampala ambapo mechi za hatua ya fainali za ligi ya mchezo wa mpira kikapu nchini Uganda zinaanza jumatano hii kati ya timu ya City Oilers na Power.

  Timu hizo zitacheza mechi saba na mshindi ndiye atakuwa bingwa wa ligi hiyo kwa msimu huu, huku kila timu ikiwa na historia ya kuwahi kushinda ubingwa huo mara 5.

  Licha ya kupewa nafasi ya kufanya vizuri safari hii, Power ilishindwa na Oilers katika fainali mbili za mwaka 2014 na mwaka 2016.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako