Akizungumza katika siku ya kahawa duniani,Kaimu Mkurugenzi wa TCB,Primu Kiimaro,alisema kushuka kwa bei kumesababishwa na kuongezeka kwa kwa uzalishaji wa kahawa duniani.
Alisema Bodi ya Kahawa nchini Tanzania imesema soko la Kahawa Duniani liemshuka kwa kiasi kikubwa jambo ambalo limesababisha uwepo wa mrundikano mkubwa wa magunia kwa wakulima.
Kwa upande wake Mkuu wa Wilaya ya Moshi,Kippi Warioba,amewataka kutafuta wawekezaji wa ndani na nje amabao watajenga viwanda.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |