• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Carrefour kufungua duka Kampala

    (GMT+08:00) 2018-10-03 18:52:45

    Duka kubwa la rejareja kutoka Ufaransa la Carrefour linatarajiwa kuanza shughuli zake nchini Uganda katika kipindi cha miezi mitatu ijayo.

    Duka hilo litafungua tawi katika jumba la maduka ya biashara la Oasis Mall jijini Kampala.

    Carrefour tayari imeweka mabango kuashiria kwamba watafungua duka Kampala mwaka ujao.

    Hivi sasa soko la maduka makubwa ya rejareja nchini Uganda lina maduka ya kampuni za Shoprite na Game kutoka Afrika Kusini,na Tuskys kutoka Kenya.Mengine ni pamoja na Quality Mega na Standard.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako