• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China atuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha rais wa zamani wa Vietnam

    (GMT+08:00) 2018-10-03 19:19:20

    Rais Xi Jinping wa China ametuma salamu za rambirambi kufuatia kifo cha rais wa zamani wa Vietnam Do Muoi.

    Rais Xi, ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) ameeleza kushtushwa na kifo cha Do Muoi, na kusema Do alikuwa kiongozi mahiri wa chama na nchi, ambaye alijitolea kwa ajili ya mageuzi ya nchi na ujenzi wa ujamaa.

    Rais Xi amesema anaamini kuwa chini ya uongozi imara wa katibu mkuu wa Chama cha Kikomunisti cha Vietnam (CPV) Nguyen Phu Trong, serikali na wananchi wa nchi hiyo watageuzi huzuni kuwa nguvu na kuendelea kuleta mafanikio katika maendeleo ya ujamaa nchini Vietnam.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako