• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Utafiti mpya waonesha Tiba mseto yachelewesha kurejea kwa virusi

    (GMT+08:00) 2018-10-04 09:30:06

    Utafiti mpya uliotangazwa kwenye gazeti la Nature umeonesha kuwa tiba mseto inayochanganya mbinu za kudhibiti chembe za kinga dhidi ya virusi vya Ukimwi na kuchochea mfumo wa kinga ya mwili, ina ufanisi wa kuchelewesha kurejea kwa virusi hivyo mwilini kwenye majaribio yaliyofanywa kwa kima. Watafiti wa kituo cha matibabu cha BIDMC chenye makao makuu mjini Boston wanaona kuwa tiba hiyo mseto inaonesha mustakbali wa mkakati mpya wa kupambana na mkusanyiko wa virusi, au chembe zilizoambukizwa na virusi vya HIV.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako