• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • China yasisitiza kutatua suala la maendeleo yasiyo na uwiano

    (GMT+08:00) 2018-10-04 17:14:01

    Naibu balozi wa China katika Umoja wa Mataifa Bw. Wu Haitao amesisitiza kuwa inapaswa kutatua suala la maendeleo yasiyo ya kutosha, bali pia kutatua suala la maendeleo yasiyo na uwiano.

    Bw. Wu amesema hayo katika mjadala wa kawaida wa kamati ya tatu ya Baraza Kuu la 73 la Umoja wa Mataifa kuhusu ajenda ya maendeleo ya jamii.

    Amesema, jamii ya kimataifa inatakiwa kushikilia kithabiti mfumo wa pande nyingi, kutekeleza kwa uwiano ajenda ya maendeleo endelevu ya mwaka 2030, na kuongeza uvumilivu wa maendeleo ya jamii.

    Pia ameongeza kuwa China inapenda kushirikiana na nchi mbalimbali kuhimiza ushirikiano wa maendeleo kwa pamoja, na kunufaishana na mafanikio ya maendeleo, ili kujenga jumuiya yenye hatma ya pamoja ya binadamu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako