• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waziri mkuu wa China kushiriki kwenye mkutano wa 17 wa Baraza la viongozi wa nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai

    (GMT+08:00) 2018-10-04 17:18:00

    Waziri mkuu wa China Bw. Li Keqiang atatembelea Tajikistan na Uholanzi kuanzia tarehe 11 hadi tarehe 19, mwezi huu, na kushiriki kwenye mkutano wa 17 wa Baraza la viongozi wa nchi za Jumuiya ya Ushirikiano wa Shanghai utakaofanyika mjini Dushanbe, Tajikistan.

    Pia Bw. Li anatarajiwa kufanya ziara nchini Ubelgiji na kushiriki kwenye mkutano wa 12 wa viongozi wa nchi za Asia na Ulaya

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako