• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • NDONDI: Wilder na Tyson Fury wataka kuzichapa Los Angeles

    (GMT+08:00) 2018-10-05 08:25:23

    Mabondia Deontay Wilder wa Marekani na Tyson Fury wa Uingereza wametambiana katika mkutano na waandishi wa habari mjini Los Angeles Marekani kuelekea pambano lao la Desemba 1, mwaka huu litakalofanyika ukumbi wa Staples Center mjini humo.

    Wawili hao walitaka kupigana baada ya kuudhiana kwa kauli za kebehi, kabla ya kutenganishwa na walinzi wao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako