• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • SOKA: Matokeo ya mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya

    (GMT+08:00) 2018-10-05 08:25:42

    Ligi ya mabingwa barani ulaya imeendelea jana kupigwa kwenye viwanja tofauti. Matokeo ya mechi za makundi yenye msisimko na ushindani Kundi B: Celtic imekubali kipigo cha 3-1 toka kwa Salzburg na katika kundi E: Arsenal ameibuka na ushindi mnono wa goli 3-0 dhidi ya Qarabag FK, nayo AC Milan imeifunga Olimpiacos goli 3-1 katika mchezo wa kundi F, Villarreal imelazimishwa sare ya 3-3 na Spartak Moscow katika kundi G,nayo Appolon Limassol imeilazimisha Marseille suluhu ya 2-2 katika mchezo wa kundi H, huku Sarposborg 08 ikiibamiza Genk kwa bao 3-1 katika kundi I, FC Krasnodar ikiizamisha Sevilla kwa goli 2-1 kundi J. nayo Chelsea fc imeibuka na ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Vidi fc katika kundi L

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako