• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • UN-Habitat yapongeza maendeleo ya kiuchumi na kijamii yaliyopatikana China kupitia kuendeleza miji katika miaka 40 iliyopita

    (GMT+08:00) 2018-10-05 09:38:24

    Mkurugenzi mtendaji wa Shirika la makazi la Umoja wa mataifa UN-Habitat Bibi Maimunah Mohd Sharif amepongeza maendeleo makubwa ya kiuchumi na kijamii yaliyopatikana nchini China kupitia kuendeleza miji katika miaka 40 iliyopita.

    Bibi Sharif amesema idadi ya wakazi wa mijini nchini China imefikia milioni 810, na idadi ya miji imefikia 657, ikilinganishwa na 193 ya mwaka 1978.

    Bibi Sharif amesema uzoefu wa China katika kuweka sera mpya za uhamiaji kati ya maeneo ya mijini na vijijini unastahili kuigwa na miji mingine duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako