• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iran yasema kupanda kwa bei ya mafuta kumefidia athari za vikwazo vya Marekani

    (GMT+08:00) 2018-10-05 09:39:14

    Mkurugenzi wa idara ya mipango na bajeti ya Iran Bw. Mohammad Baqer Nabakht amesema kupanda kwa bei ya mafuta kumefidia athari za vikwazo vya Marekani dhidi ya Iran.

    Amesema mapato ya Iran yanayotokana na biashara ya mafuta yameongezeka kwa asilimia 16 katika miezi 6 iliyopita.

    Iran imetangaza rasmi kuwa Korea Kusini ni nchi pekee miongoni mwa wateja wake wa mafuta iliyosimamisha kununua mafuta kutoka Iran, baada ya Marekani kuiwekea vikwazo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako