• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa zamani wa Korea Kusini ahukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kwa kosa la ufisadi

    (GMT+08:00) 2018-10-05 16:28:40

    Rais wa zamani wa Korea Kusini Lee Myung-bak amehukumiwa kifungo cha miaka 15 jela kutokana na kosa la ufisadi, ikiwemo kupokea rushwa na ubadhirifu wa fedha.

    Mahakama ya wilaya ya Seoul imetoa hukumu hiyo kwa Bw. Lee ambaye alikuwa rais wa nchi hiyo kwa miaka mitano kuanzia mwaka 2008, na pia amepigwa faini ya dola za kimarekani milioni 11.5. Lee pia amekutwa na hatia ya kupokea dola milioni 6 za kimarekani kama rushwa kutoka kwa kampuni ya Samsung, ambayo ni kampuni kubwa zaidi ya kifamilia nchini bumo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako