• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mtu mmoja afariki na nyumba 60 zaharibika baada ya lori la mafuta kulipuka nchini Cameroon

    (GMT+08:00) 2018-10-05 18:56:23

    Mtu mmoja amefariki, mwingine kujeruhiwa, na nyumba 60 kuharibika baada ya lori la mafuta kulipuka katika mji wa kibiashara wa Duala, nchini Cameroon mapema leo.

    Chanzo cha habari kutoka jeshi la polisi kimeliambia Shirika la Habari la China Xinhua kuwa, mazingira yaliyosababisha mlipuko huo bado hayafahamiki, lakini lori hilo lilikuwa limebeba takataka kutoka kampuni moja ya Ufaransa nchini humo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako