• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe wa Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Guo Yezhou ahudhuria mkutano wa 11 wa chama cha EPRDF

    (GMT+08:00) 2018-10-06 19:12:46

    Kuanzia tarehe 3 hadi tarehe 5 mwezi Oktoba, naibu mkuu wa idara ya mawasiliano na nchi za nje ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Guo Yezhou alihudhuria mkutano wa 11 wa Chama cha Demokrasia na Mapinduzi ya Watu cha Ethiopia EPRDF uliofanyika huko Hawassa, na katika ufunguzi wa mkutano huo Bw. Guo Yezhou alisoma barua ya pongezi ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China kwa kamati ya EPRDF na kuikabidhi kwa waziri mkuu wa Ethiopia Bw. Abiy Ahmed.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako