• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Tetemeko la ardhi nchini Haiti laua takribani watu 10

    (GMT+08:00) 2018-10-07 18:49:55

    Tetemeko la ardhi lenye ukubwa wa 5.9 katika kipimo cha Richta limeikumba nchi ya Haiti jana jumamosi majira ya usiku, na kuwaua watu takribani 10, na kutokana na tukio hilo serikali imeunda kikosi kazi cha dharura ili kushughulikia.

    Tetemeko hilo lilitokea saa mbili na dakika kumi usiku kwa saa za Haiti, na lilikuwa eneo la umbali wa kilomita 20 kaskazini magahribi mwa jiji la Port-de-Paix.

    Mara ya mwisho kwa Haiti kukumbwa na tetemeko kubwa ilikuwa mwaka 2010 ambapo idadi ya watu 200,000 walipoteza maisha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako