• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Akiba ya fedha za kigeni ya China yazidi trilioni 3.08 hadi mwishoni mwa Septemba

    (GMT+08:00) 2018-10-07 18:54:15

    Idara ya usimamizi wa fedha za kigeni ya China leo imetangaza kuwa, hadi kufikia mwishoni mwa mwezi Septemba, akiba ya fedha za kigeni ya China imekuwa dola za kimarekani bilioni 3,087, na ikiwa imeshuka kwa dola za kimarekani bilioni 22.7 ikilinganishwa na mwezi Agosti.

    Msemaji wa idara hiyo Bibi Wang Chunying amesema, ingawa China inakabiliwa na changamoto kutokana na mazingira ya nje, lakini uchumi wake una uwezo wa kukabiliana na changamoto hizo, na akiba ya fedha za kigeni ya China itadumisha utulivu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako