• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Watu 20 wafariki katika ajali ya magari ya harusi New York

    (GMT+08:00) 2018-10-08 08:17:07

    Watu 20 wamefariki katika ajali ya magari ya kifahari ya harusi mjini Schoharie, kilomita 257 ya kaskazini mwa mji wa New York. Polisi wamethibitisha idadi ya vifo lakini wamekataa kutaja majina ya wahanga kwani ndugu zao wanaendelea kuarifiwa. Chanzo cha ajali hiyo bado hakijajulikana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako