• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Waasi watano wa Houthi wauawa na 15 kujeruhiwa na jeshi la serikali ya Yemen

    (GMT+08:00) 2018-10-08 08:17:32

    Waasi wasiopungua watano wameuawa na wengine 15 kujeruhiwa katika makabiliano ya kijeshi na vikosi vya serikali ya Yemen vinavyoungwa mkono na Saudi Arabia katika mkoa wa Taiz, kusini magharibi mwa Yemen.

    Shirika la habari la Yemen, Saba, limesema jeshi la serikali limezuia shambulizi lililofanywa na waasi wa Houthi dhidi ya maeneo muhimu ya kijeshi mkoani Taiz.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako