• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Riadha, Mbio za Uholanzi: Kiplagat wa Kenya atwaa ubingwa, Mtanzania Giniki shinda nafasi ya pili

    (GMT+08:00) 2018-10-08 09:12:28

    Mwanariadha kutoka Kenya David Kiplagat ameshinda ubingwa wa mbio za kilomita 10 barabarani zilizofanyika jana nchini Uholanzi kwa kutumia dakika 13 na sekunde 52.

    Kwa ushindi huo Kiplagat alitwaa kikombe cha dhahabu pamoja na fedha dola za kimarekani 10,000.

    Nafasi ya pili kwenye mbio hizo ilitwaliwa na mtanzania Emmanuel Giniki aliyetumia dakika 13 na sekunde 53.

    Kwa kushika nafasi hiyo, Giniki alizawadiwa fedha dola 5,000 na kikombe cha rangi ya fedha.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako