• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Soka, Tanzania: Wachezaji 8 wa timu ya vijana kwenda Ulaya kufanyiwa majaribio

    (GMT+08:00) 2018-10-08 09:12:44

    Vijana 8 wa timu ya taifa ya vijana chini ya miaka 17 'Serengeti Boys' wamepata dili la kufanya majaribio katika vilabu mbalimbali barani Ulaya.

    Hii inatokana na uwezo mkubwa waliouonyesha kwenye mashindano mabalimbali yakiwemo ya kufuzu michuano ya AFCON.

    Mmoja wa wachezaji hao Moris Abraham anatarajiwa wiki ijayo kuelekea Denmark ambako atafanya majaribio ya wiki mbili baada ya kukamiliKa kwa taratibu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako