• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Benki Kuu ya Zimbabwe yatoa dola milioni 41 za kimarekani kupunguza uhaba wa mafuta

    (GMT+08:00) 2018-10-08 19:07:06

    Benki Kuu ya Zimbabwe imeanza kupunguza mkopo wa dola milioni 500 za kimarekani iliyopata hivi karibuni ili kusaidia kununua bidhaa muhimu, huku fungu la kwanza la dola milioni 41 ikitolewa kununua mafuta.

    Taarifa iliyotolewa leo na Benki hiyo imesema, fedha hizo zilizotolewa Ijumaa wiki iliyopita. Zimbabwe imeshuhudia uhaba wa mafuta kwa wiki kadhaa, huku wamiliki wa vyombo vya moto wakikaa kwenye foleni ndefu kwenye vituo vya mafuta.

    Benki hiyo imewahakikishia wananchi kuwa kuna mafuta ya kutosha nchini humo, na kwamba hakuna haja ya kuwa na hofu na kununua mafuta kwa wingi na bidhaa nyingine muhimu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako