• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha Taifa la China chaanzisha ushirikiano wa kimkakati na serikali ya mji wa Shanghai

    (GMT+08:00) 2018-10-08 19:48:13

    Kituo Kikuu cha Radio na Televisheni cha Taifa la China na serikali ya mji wa Shanghai leo zimesaini makubaliano kuhusu kuimarisha ushirikiano wa kimkakati mjini Shanghai.

    Kituo hicho ni chombo kikubwa zaidi cha habari duniani na pia kinafanya kazi muhimu katika mambo ya radio na televisheni nchini China. Mji wa Shanghai unafanya juhudi katika kujenga "vituo vitano" , mji mkubwa wa utamaduni wa kimataifa, mji mashuhuri duniani ambao pia ni mji uliotangulia kufanya maendeleo kwa uvumbuzi. Shughuli muhimu inayowekwa katika ushirikiano huo wa kimkakati ni kujenga Makao Makuu ya Eneo la Mtiririko wa Mto Changjiang na Shanghai, ambayo ni makao makuu ya kwanza ya kikanda na ya mji huo, na kitatoa mfano mzuri na kuleta ushawishi mkubwa wa kijamii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako