• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mzigo wa pensheni waona serikali ikitumia sh bilioni 104 kwa wastaafu katika miaka miwili ijayo

    (GMT+08:00) 2018-10-08 20:24:08

    Watumishi wa umma kuanzia mwezi huu, watakatwa asilimia 7.5 ya mishahara yao kwa mpango wao wa pensheni huku Nchi ikijitahidi kufikia gharama za kustaafu kwa watumishi wa umma.

    Serikali inajitahidi kupunguza matumizi kwa malipo ya pensheni kutoka na kuongezeka kwa namba za kustaafu.

    Kenya itatumia Sh bilioni 104 katika miaka miwili ijayo kulipa watumishi wa umma waliostaafu.

    Angalau asilimia 37 ya wafanyakazi wa sasa wa umma wanapaswa kustaafu mwaka wa 2030, kulingana na Tume ya Utumishi wa Umma.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako