• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Ethiopia: Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE), yahimiza wananchi wanaoishi nje ya nchi kuwekeza kwa mikopo ya nyumba

  (GMT+08:00) 2018-10-08 20:25:06

  Benki ya Biashara ya Ethiopia (CBE), imetangaza mipango ya kuhimiza wananchi wao katika nchi za nje na mikopo ya nyumba.

  Taarifa hiyo kutoka kwa Benki imesema kuwa wanalenga wa Ethiopia ambao hawaishi nchini humu na wa kigeni wa asili ya Ethiopia.

  Mkurugenzi wa CBE Bacha Gina, wakati wa mkutano wa wadau uliofanyika mapema wiki hii katika mji mkuu wa Addis Ababa, amesema kuwa bidhaa hiyo ilikuwa sehemu ya maono ya benki kutumikia na kukua pamoja na wateja wake.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako