• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Iran inataka uhusiano wa biashara na Afrika Mashariki

  (GMT+08:00) 2018-10-08 20:25:40

  Makamu wa Rais wa Sayansi na Teknolojia Sorena Sattari alikuwa nchini Uganda na Kenya siku ya wekendi kuchunguza fursa za biashara na kuongeza uhusiano wa biashara kati ya nchi.

  Ziara hii, inakuja mwezi mmoja kabla ya vikwazo vya Umoja wa Mataifa juu ya bidhaa za mafuta na gesi ya Tehran.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako