• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Taekwondo: Rwanda yashinda ubingwa wa vijana

  (GMT+08:00) 2018-10-09 08:55:53

  Timu ya taifa ya vijana ya Rwanda imeshinda ubingwa wa jumla wa mashindano ya mchezo wa Taekwondo ya mwaka huu baada ya kuonyesha umahiri dhidi ya timu zingine zilizoshiriki.

  Rwanda ambao walikuwa ndio wenyeji walishinda medali kumi za dhahabu kwenye vipengele tofauti kulingana na umri, jinsia na uzito.

  Mashindano hayo yalishirikisha zaidi ya vijana 300 kutoka nchi saba za Afrika Mashariki zikiwemo Tanzania, Sudan, Kenya, Uganda, Burundi, DRC na wenyewe Rwanda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako