• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wakimbizi wa ndani zaidi 192,000 nchini Libya wahitaji msaada

    (GMT+08:00) 2018-10-09 09:56:11

    Shirika la kuhudumia wakimbizi la Umoja wa Mataifa UNHCR limesema watu zaidi ya laki 1.9 waliopoteza makazi yao nchini Libya wanahitaji msaada zaidi.

    Shirika hilo limetoa taarifa ikisema wakimbizi hao wanahitaji misaada zaidi ili kuweza kurudi nyumbani hali ikiruhusu.

    Taarifa pia imesema shirika hilo litaendelea kuunga mkono na kutoa misaada kwa wakimbizi, kwa kutoa bidhaa zisizo za chakula, fedha na kutekeleza miradi itakayotimizwa kwa haraka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako