• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa ahimiza jamii ya kimataifa kujitahidi kudhibiti joto

    (GMT+08:00) 2018-10-09 19:23:48

    Katibu mkuu wa Umoja wa Mataifa Bw. Antonio Guterres na baadhi ya wataalamu wametoa wito kwa nchi mbalimbali kuchukua hatua ili kudhibiti ongezeko la joto ndani ya sentigredi 1.5.

    Kamati ya Mabadiliko ya Hali ya Hewa Duniani ya Umoja wa Mataifa IPCC imetoa ripoti maalumu inayoonya kuwa, kama ongezeko la joto likiendelea kwa kasi ya sasa, hali ya hewa duniani kuanzia mwaka 2030 hadi 2052 itakadiriwa kuongezeka kwa sentigredi 1.5 ikilinganishwa na zama kabla ya utandawazi wa viwanda. Kama ongezeko hilo likidhibitiwa ndani ya sentigredi 1.5, binadamu na mfumo wa kiikolojia zitanufaika zaidi.

    Bw. Guterres amesema, ripoti hiyo ni onyo kubwa zaidi kwa dunia nzima, ambayo imeonesha hali tofauti kati ya ongezeko la sentigredi 2 na la sentigredi 1.5 kwa watu wote duniani.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako