• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Halotel yatangaza kutoa zawadi kwa wateja wake

  (GMT+08:00) 2018-10-09 19:45:44

  Kampuni ya simu za mkononi ya Halotel imetangaza kutoa zawadi kwa wateja wake watakaotoa mawazo yatakayosaidia uboreshaji huduma kwa wateja.

  Kampuni hiyo imetangaza kuanza kutoa zawadi hizo kupitia mpango wake wa 'Longa Tusonge katika kuadhimisha miaka mitatu ya utoaji huduma nchini humo.

  Akizungumza wakati wa uzinduzi huo mkuu wa kitengo cha mawasiliano wa kampuni hiyo, Mhina Semwenda amesema mpango huo ni sehemu ya kuthamini mchango wa wateja wake kwa kipindi hicho.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako