• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Taxify yazindua huduma ya bodaboda

  (GMT+08:00) 2018-10-09 19:46:06

  Kampuni ya huduma za usafiri ya Taxify imezindua huduma ya usafiri wa bodaboda jijini Dar es Salaam na Mwanza kwa ajili ya wasafiri wenye haraka wanaoshindwa kuwahi waendako kutokana na foleni ya magari.

  Kwa kutumia App ya Taxify inayopatikana kwenye simu za kisasa za mkononi, Watanzania wanaweza kupata usafiri wa bodaboda kwa urahisi na bei nafuu na kuifanya Tanzania kuwa nchi ya tatu ambayo huduma hiyo imezinduliwa. Huduma hiyo inapatikana pia Kenya na Uganda.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako